Faida ya Kutangaza Baisahara yako Kwenye Mitandao ya Kijamii ( Instagram, Facebook, Twitter)
Mitandao ya Kijamii imeweza kukutanisha watumiaji wengi ulimwenguni. Ikiwemo akaunti za watu binafsi na za biashara. Biashara kwenye mitandao ya kijamii zimekuwa zikiongezeka siku hadi siku, watumiaji pia wa mitandao hii wamekuwa wakiongezeka siku hadi siku. Hivi sasa mitandao ya kijamii inawatumiaji zaidi ya Billion Moja duniani kote. Hapa Tanzania watumiaji wa mitandao ya kijamii wana kadiriwa kuwa 5.4million, hii ni asilimia 8.9% ya idadi yote ya wananchi wa Tanzania. Kwa idadi hii kubwa ya watumiaji, kunawapa...